Malia Obama kwenye busu zito na jemba ,huku akivuta sigara

Malia Obama kwenye busu zito na jemba ,huku akivuta sigara

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Maria Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya aongelewe sana na wanafunzi wenzake.

Malia alionekana kwenye mchezo wa American Football akimpa busu mwanafunzi mwenzake wa kiume na baada ya dakika chache alionekana kuwasha na kuanza kuvuta Sigara Barack na mke wake Michelle hawaja ongelea jambo hili mpaka sasa ingawa wengi wanasema ndio maisha ya chuo hayo hawawezi kuingilia maisha ya mtoto wao.

View attachment 636004
View attachment 636005
malia-obama-sad-696x457.jpeg
469B318200000578-5108039-image-m-5_1511364136348-619x1024.jpeg
 
sigara ipo wapi busu lipo wapi
Baada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Malia Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya aongelewe sana na wanafunzi wenzake.
Malia alionekana kwenye mchezo wa American Football akimpa busu mwanafunzi mwenzake wa kiume na baada ya dakika chache alionekana kuwasha na kuanza kuvuta Sigara.
Barack na mke wake Michelle hawaja ongelea jambo hili mpaka sasa ingawa wengi wanasema ndio maisha ya chuo hayo hawawezi kuingilia maisha ya mtoto wao.
View attachment 636004
View attachment 636005
View attachment 636011View attachment 636015
 
ila kana chuchu konzi...vp yule mwenzie sasha yupo wapi siku hizi
 
Baada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Malia Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya aongelewe sana na wanafunzi wenzake.
Malia alionekana kwenye mchezo wa American Football akimpa busu mwanafunzi mwenzake wa kiume na baada ya dakika chache alionekana kuwasha na kuanza kuvuta Sigara.
Barack na mke wake Michelle hawaja ongelea jambo hili mpaka sasa ingawa wengi wanasema ndio maisha ya chuo hayo hawawezi kuingilia maisha ya mtoto wao.
View attachment 636004
View attachment 636005
View attachment 636011View attachment 636015
Ni Maria siyo Malia
 
Hivi huyu demu sio yule demu wa brother Deogratias Kisandu?

Kama ndiye yeye basi hili alilotendewa Kisandu ni hujuma kabisa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom