Malia Obama kwenye busu zito na jemba ,huku akivuta sigara

Malia Obama kwenye busu zito na jemba ,huku akivuta sigara

Acha mtoto ale maisha, hutaki Mjaluo apate wajukuu?!
 
Wabongo nuksi kweli...

Cha ajabu nini hapo!!??
 
Muda huu huwezi kumzuia huko chini kunawasha age la wenge hilo
 
Mleta mada

Kwani uyo mtoto akivuta sigara wee inakuuma nini.

Angekua mtanzania ningesema inalilia uzalendo

Sasa hayo ya marekani yanakuusu nini mbongo.
Umbea tu unakusumbua
 
Back
Top Bottom