Malia Obama ndani ya penzi jipya

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274

Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .
 
Huyu mtoto nilikua namtaka kitambo sana tatizo ni pesa tu za kunipeleka havard..

Watu wenye hela wanafaidi sana...
Acha nitafute hela atleast watoto wangu wasipate shida kudate na wasichana wa hivyo
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…