Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .