Mbona kijana kama amekomaa, siyo mtoto kama binti!Mmhh
Dont tell me jamaa alifungwa?muda gani?Yuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Hahahahahahaha..Mi bado sijakata tamaa kwa mdogo wake ngoja ajichanganye tuuu
Unamzungumzia Malia Obama?Huu ndio umri ambapo watu wengii hufanya madudu ambayo baadaye yanawachafua wakiwa wamejitambua,ila ni foolish age ambayo wengi hupitia na hii haipaswi kuwa fimbo yake kumchapia pale atakapokuwa anapata nafasi kubwa za uongozi...
Jamaa kakaa kama mwanaume surualiView attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823297
Hana churaLife is all about risks!
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...sio siri demu kuvuta fegi sijui naonaje?
Mwanaume mvutaji tuu nakaaga nimemshangaa[emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] jamani kaaah!!usiumie wala nini ndo maisha hayo ataliwa tuuJuzi haka kalikua katoto leo hii anakaa juu ya kifua ,namcheki mwanangu wa kike hapa na ufedhuli naofanya kwa wanawake ,roho inauma
Mimi bado namtafuta dada yangu!Hana chura
Yes indeed..Unamzungumzia Malia Obama?
Yupi?Mimi bado namtafuta dada yangu!
Hahaha dah kweli ataliwa ila namuombea sana asikutane na mwanaume wa aina yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] jamani kaaah!!usiumie wala nini ndo maisha hayo ataliwa tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] nimechekaaa sanaaaaa!halafu ofisi ya watu!Hahaha dah kweli ataliwa ila namuombea sana asikutane na mwanaume wa aina yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimevaa hadi miwani sijawaona wakivuta.