Malia Obama ndani ya penzi jipya

Malia Obama ndani ya penzi jipya

Afu huyu dgo tangu ajiunge hapo Harvard naskia habari zake za kuchange wanaume tu...

Sizani kama kamekosa supplementary zaid ya tatu mpka sasa.
 

Huyo mpenzi wa Malia mbona anaonekana kama 'Swaswaswa/momomo' hivi?
 
Huu ndio umri ambapo watu wengii hufanya madudu ambayo baadaye yanawachafua wakiwa wamejitambua,ila ni foolish age ambayo wengi hupitia na hii haipaswi kuwa fimbo yake kumchapia pale atakapokuwa anapata nafasi kubwa za uongozi...
Unamzungumzia Malia Obama?
 
View attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823297
Jamaa kakaa kama mwanaume suruali
 
Juzi haka kalikua katoto leo hii anakaa juu ya kifua ,namcheki mwanangu wa kike hapa na ufedhuli naofanya kwa wanawake ,roho inauma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] jamani kaaah!!usiumie wala nini ndo maisha hayo ataliwa tuu
 
Hahaha dah kweli ataliwa ila namuombea sana asikutane na mwanaume wa aina yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] nimechekaaa sanaaaaa!halafu ofisi ya watu!

Uliyowafanyia wanaume wenzio watoto wao ngoja yatarudi tu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom