Malia Obama ndani ya penzi jipya

ivi uko Harvard si kuna wabongo wanasoma huko....angeenda kusoma MTU kama diamond huyo malia Obama sasa hivi angekuwa anadamkia tandale
 
Huu ndio umri ambapo watu wengii hufanya madudu ambayo baadaye yanawachafua wakiwa wamejitambua,ila ni foolish age ambayo wengi hupitia na hii haipaswi kuwa fimbo yake kumchapia pale atakapokuwa anapata nafasi kubwa za uongozi...
Kama Jokate sio,huku si kujitakia?
 
Kwa standard za kimataifa kwa tafsiri ya uzuri ni kazuri sana,sasa kwako labda kama hupendi waliokuzidi kipato sawa
Swala la kipato lmetokea wp hapo ....mbona unakuwa na akili ndogo kama ku.ku...
tunachojadili hapa ni uzuri sio kipato.......
Infact hata kwa kipato nimemzidi yy ni mwanafunzi wa Havard mimi nafanya kazi
am earning an income......hebu tanua ubongo ...usiwe na akili nzito kama gundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…