pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Yule maasai wa kenya apambane akasome Harvard university atampata tu malia wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mwajuma hapo next door is your gold the only thing is she doesn’t glitter
Yaaaan[emoji23] [emoji23] ...wavuta fegi wamenikalia kushoto[emoji23]
Geniveros![emoji53][emoji53][emoji53]Yupi?
Ana chura?Geniveros![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Ana chura?
SwaibaLife is all about risks!
Nini kimempata?Yuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Niambie rafiki!....Umenigomea tusile lile pilau la usiku jamani lile la kitandani lile la kuambiwa hebu geuka hivi![emoji28][emoji28][emoji28]Swaiba
Lakuambiwa hebu geuka hivi silagi, nakula la kuvutwa tu bila ombiNiambie rafiki!....Umenigomea tusile lile pilau la usiku jamani lile la kitandani lile la kuambiwa hebu geuka hivi![emoji28][emoji28][emoji28]
Rafiki asante kwa kunipa mbinu,hakika sitakuangusha!Lakuambiwa hebu geuka hivi silagi, nakula la kuvutwa tu bila ombi
HahahaRafiki asante kwa kunipa mbinu,hakika sitakuangusha!
Kama Jokate sio,huku si kujitakia?Huu ndio umri ambapo watu wengii hufanya madudu ambayo baadaye yanawachafua wakiwa wamejitambua,ila ni foolish age ambayo wengi hupitia na hii haipaswi kuwa fimbo yake kumchapia pale atakapokuwa anapata nafasi kubwa za uongozi...
Kwa uzuri tu,Nikazuri sana labda uwe umeweka cha TarimeHuyu mtoto sio mzuri kivile.......
hata mvuto haubambi saaana
she is an ordinary chick once come to sex....
though she was a state house creature
Kwako mzuri mm kwangu wa kawaida ......Kwa uzuri tu,Nikazuri sana labda uwe umeweka cha Tarime
Kwa standard za kimataifa kwa tafsiri ya uzuri ni kazuri sana,sasa kwako labda kama hupendi waliokuzidi kipato sawaKwako mzuri mm kwangu wa kawaida ......
standard zetu za kuona uzuri zinatofautiana....
usilazimishe
Kwaiyo mtoto wa Obama marinda hana tena?Jamaa kakaa kama mwanaume suruali
Swala la kipato lmetokea wp hapo ....mbona unakuwa na akili ndogo kama ku.ku...Kwa standard za kimataifa kwa tafsiri ya uzuri ni kazuri sana,sasa kwako labda kama hupendi waliokuzidi kipato sawa