Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Jamaa amtie mimba fasta aache kuzubaa watamgongea wahuni manake umri huo wa 20 years huwa wanawashwa washwa sana na kutamani dudu za wanaume mbalimbali ukizingatia huyu manzi ni black
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah asee ndoto yangu ishayoyoma, asubuhi ishafika niache kuendelea kuota kuwa mkwe wa obama. Kumbe matajiri ndo wanakula vitu vitamu hivyo, niliota mtoto wa dangote kabebwa, mtoto wa obama kabebwa daaah, yaan mimi wangu mwajuma tuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823297
Hahahaaa hebu fikiriaJamaa amtie mimba fasta aache kuzubaa watamgongea wahuni manake umri huo wa 20 years huwa wanawashwa washwa sana na kutamani dudu za wanaume mbalimbali ukizingatia huyu manzi ni black
Amefungwa?Yuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Ahahahahahahaha yajayo yanafurahisha au?Juzi haka kalikua katoto leo hii anakaa juu ya kifua ,namcheki mwanangu wa kike hapa na ufedhuli naofanya kwa wanawake ,roho inauma
Scholarship au Political Influence hata ukiwa na wazazi wenye nguvu kubwa kiuchumi pia unaenda, mfano Zuckerberg angekua na mtoto wa kuingia havard anaingia kirahisi tu bila tatizo, so Obama binti yake ni rahisi kuingia Havard kutokana na hali ya kisiasa ya mdingi wake, .bila kusahau pia akili inahusika, mabolizozo hawawez kwenda hata km unapesaWrite your reply...
Hivi havard si huwa nasikia vipanga tu ndio huwa wanaenda? au pesa yako tu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mtoto nilikua namtaka kitambo sana tatizo ni pesa tu za kunipeleka havard..
Watu wenye hela wanafaidi sana...
Acha nitafute hela atleast watoto wangu wasipate shida kudate na wasichana wa hivyo
😀😀 kalevi lakini kanafaidi mzigoHako kajamaa kanaonekana kalevi sana...
Huyo Malia nae at 20 unavuta mifegi? Mtoto wa nyoka ni nyoka, unavuta bangi mbele ya watoto wako mwisho wake ndo huu!
Miaka 19 huyo kaka big nooooooooView attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823297
Akimpolish atashangaa mwenyewe.Mbona Mwajuma hapo next door is your gold the only thing is she doesn’t glitter
Why wanaacha at that age?Ieleweke tu kuwa mabinti wa nchi za mbele asipovuta sigara ni kama upo uvae kwenye ndoa ya kanisani.. kila mtu atakushangaa.. ila uzuri wao wanaacha wakishafika miaka 23 hivi au 25.