Maliasili mambo safi - Kigwangala kubeba gharama za honeymoon ya Ali Kiba huko Venice - Italy

Maliasili mambo safi - Kigwangala kubeba gharama za honeymoon ya Ali Kiba huko Venice - Italy

Aiseeeee...imeniuma, yaani Mh. Rais anatafuta hela kwa shida hivi alafu Waziri wake Hamis analipia Honey moon 100% ya Ali Kiba nje ya nchi Venice kwa wiki 2 zote.. Nooooo... Eeeh...!! 😱😱😳😳🙁🙁
 
Huyo kingwangwala kwani asingekuja nikamuuzia proposal yangu inayoelezea namna ya kukuza utalii kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la shara kuliko kwenda kuharibu hela kwa watu ambao kwanza hawahusiani na wizara yake kingine wao wenyewe wana pesa zao wazilizoziandaa kwa ajiri ya honeymoon.?!!

Hama hakika ndio maana dubwana yule aliwahi kusema baraza lake lina mawaziri wapumbavuu.
 
hahaaa watu wana hela zao bwana raisi aache wivu ..daahhh nimecheka mnooo aiseee
 
Back
Top Bottom