beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Yap. Pia MwanaFA - Hawajui.Unaacha vipi kuitaja " wanyalu" aliyo fanya na Mike Tee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap. Pia MwanaFA - Hawajui.Unaacha vipi kuitaja " wanyalu" aliyo fanya na Mike Tee
Dah....Feeouz nae tatizo..Ana sauti unique sana huyu.....ukimtoa ferouz na jide hakuna msanii anayekamua kwenye chorus tena siku hz
Jirushe....yaani sauti yake hakuna wa kuirithi jamaniDah....Feeouz nae tatizo..
Mikasi,Nikusaidiaje,Mkiwa,Mida mibovu,
Na zingine kibaoooo
Ft jay moe aiseeeeJirushe....yaani sauti yake hakuna wa kuirithi jamani
Nilishakuwaga na wangu,ila akanitenda wimbo wa blue 20113) ni moja ya chorus bora Jay dee amewahi imba
...to be with you I'm feeling like I'm top of the world uuuuuh
and i wanna stay just like kilimanjaro mountain
I don't wanna play I just wanna stay....
I just wanna stay I don't wanna play.....
2) wanoknok [emoji122]
5) Msiache kuongea [emoji122]
Jay dee bado naamini anaudai huu muziki[emoji122]