Malimbikizo ya mshahara 2015-2019 kwa aliyeacha kazi

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Umofia Kwenu!

Wakuu mimi niliacha kazi (resign) serikalini mwaka 2019. Nimesikia malimbikizo ya nyongeza ya mshahara yatatolewa kwa 2015 kuja 2021.

Je, mimi nahusika hapo kujaza na kufuatilia pale zoezi litakapoanza?

Naombeni ufafanuzi kwa wajuzi
 
Aliyeacha kienyeji bila ya barua vipi ? Kuna waalimu miaka ya 90 waliingia mitini na kujikita katika kilimo .
 
Mkuu kama unaenda mbele usiangalie nyuma, unakwama wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…