Kinene usiwe na negative attitude kwaMkurugenzi na DEO wa Bagamoyo pamoja na Midasi. Ni vizuri ufuate taratibu kufuatilia madai yako. Watumishi hawa ni tofauti unavyowafikiria, kama unadai malimbikizo ni vyema kupunguza jazba ya kuwatukana hawa watendaji wa serikali. Mimi mwenyewe nilikuwa na madai ya malimbikizo ya mishahara lakini niliwaona na kuwaeleza personally kuhusu madai yangu hayo hatimaye nililipwa kwa muda mfupi sana. Sidhani kama unawatendea haki kwa kuwatusi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.