Malinzi aanza kupanga watu wake

Malinzi aanza kupanga watu wake

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
mpira wa tanzani imeingizwa siasa.
kamati ya uchaguzi Dorefa mkoani dodoma imewaondoa baadhi ya wagombea kwa madai ya maagizo kutoka TFF.
inasemekana anataka kubadilisha kanuni ya uchaguzi wa TFF wapiga kura ni wenyeviti wa mikoa tu
 
Malinzi limbumbumbu lakutupwa
Sikufikiria kama anauwezo mdogo km alivyo
 
Yaan Malinzi ana keraa na hafai kwenye mpira wa bongo
 
Hiyo trela picha kamili anayoiandaa na itakayovuruga kabisa uwepo wake tff ni vita anavyoviandaa vya kumfungia jerry muro
Manji
Na katibu mkuu wa yanga baraka deusdedit sbb wanahatarisha maslahi yake tff
 
Huyu Malinzi Nani anampa kiburi hivi??
 
Back
Top Bottom