Malinzi achaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha soka Kagera

Mmmh imekaa ovyo mno ivi malinzi ana elim gan kwanza
 
Hao waliomchakua wenyewe hamnazo
 
kwa mwendo huu lazima tufanikiwe kwenye soccer[emoji2] [emoji2]
 
Huyu jamaa anatuharibia soka la bongo yani mambo aliyofanya Tenga huyu mtu hata robo bado
 
Ni pale Rais mstaafu anapo teuliwa kuwa DC mambo mengine hadi naona aibu h'll Malinzi & co !!
 
Yaan hakuridhika na urais had afike huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…