Malinzi achaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha soka Kagera

Malinzi achaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha soka Kagera

Mmmh imekaa ovyo mno ivi malinzi ana elim gan kwanza
 
kwa mwendo huu lazima tufanikiwe kwenye soccer[emoji2] [emoji2]
 
Huyu jamaa anatuharibia soka la bongo yani mambo aliyofanya Tenga huyu mtu hata robo bado
 
Ni pale Rais mstaafu anapo teuliwa kuwa DC mambo mengine hadi naona aibu h'll Malinzi & co !!
 
Back
Top Bottom