Malinzi achana kabisa na ZFA...hutawaweza..

tatizo hawa wanachojua ni kugeuzana na kuvua samaki basi

Mda mwingine jaribu kuwa na staha na wenzako una maana watu wazanzibar wote wanageuzana je ukiambiwa utoe ushahidi kwa hilo utatoa??
 
Mda mwingine jaribu kuwa na staha na wenzako una maana watu wazanzibar wote wanageuzana je ukiambiwa utoe ushahidi kwa hilo utatoa??
ndio utamadun wao mkuu ushaid upo
 
Kama atakuwa mtu wa kupokea ushauri na kuufanyia kazi lakin

Malinzi ana tatizo la 'OVERRATING HIMSELF" and hence he wants to punch above his weight!! Akifanya mchezo WAZENJ watamsomesha namba!!
 
Dah, namkumbuka huyu bwana aliingia kwa pomps nyingi sana TFF, sina hakika kama kuna kipya kailetea TFF
 
Dah, namkumbuka huyu bwana aliingia kwa pomps nyingi sana TFF, sina hakika kama kuna kipya kailetea TFF
Hakuna kipya alicholeta zaidi ya kuharibu yale mazuri aliyoyakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…