chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
wafungwe tu mkuu,hukumu ya dhambi ni mautiLupango kunawahusu hawa wahuni na mafisadi wa TFF.
This is bull shit man! Kama ana makosa no one denies makosa yake! But let the game flow! Agombee ashindwe! Or what is wrong kumshtaki akiwa ameshinda uchaguzi! Hizi personal issues katika mambo serious, are among other factors kwamba hili bara ni la giza! Sijawahi kumsurppot Malinzi katika uongozi wake especially issues za watu wa kabila lake pale TFF ila kwa hili nauona mkono wa mtu nyuma yake .[emoji53][emoji53][emoji53]Mkuu kwann wampenda kuchokonoa watu lkn, usione u huru kiasi hicho,
Kutakatisha fedha kuna dhamana? muulize pedeshee ndama mutoto ya ng'ombeAfrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
Waziri wa habari sanaa na michezo Harrison Mwakyembe alitinga hadi nyumbani kwa nahodha wa Serengeti Boys Issa Abdi Makamba ambaye anaumwa mguu na kushangwa na TFF kutomhudumia kijana huyo. Amesema vijana wa ofisi yake watakuwa wanawasiliana nae mara kwa mara kujua anachohitaji na pia atawaweka sehemu moja vijana wa timu hiyo ili waweze kuendelea na mazoezi. Kijana huyo alisema hali yake inaendelea vizuri na alishukuru kwa kutembelewa na waziri huyo.
Mkuu sina LA kuongeza hapo, usiache kuombea tz na watu wakeThis is bull shit man! Kama ana makosa no one denies makosa yake! But let the game flow! Agombee ashindwe! Or what is wrong kumshtaki akiwa ameshinda uchaguzi! Hizi personal issues katika mambo serious, are among other factors kwamba hili bara ni la giza! Sijawahi kumsurppot Malinzi katika uongozi wake especially issues za watu wa kabila lake pale TFF ila kwa hili nauona mkono wa mtu nyuma yake .[emoji53][emoji53][emoji53]
Hapana mkuu siye,wao wamepelekwa Segerea!!Jamal Malinzi napishana nae hapa maeneo ya Keko Veta yupo kwenye gari ya binafsi ila wamejaa Askari wa kutosha naona safari ya Keko Gerezani daaaah uhu utawala jamani sio wa mchezo mchezo
Inawezekana mazingira ya kuutengeneza ushahidi yalikuwa muafaka wakati wa mchakato wa uchaguzi hivyo muda wote walikuwa wanaandaliwa trap, anyway kwamba wamekamatwa ktk wakati gani sio Issue in question kama makosa yapo.Afrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
Kama kuna mkono wa mtu mwenye haki kumzuia mtu muovu hakuna tatizo.This is bull shit man! Kama ana makosa no one denies makosa yake! But let the game flow! Agombee ashindwe! Or what is wrong kumshtaki akiwa ameshinda uchaguzi! Hizi personal issues katika mambo serious, are among other factors kwamba hili bara ni la giza! Sijawahi kumsurppot Malinzi katika uongozi wake especially issues za watu wa kabila lake pale TFF ila kwa hili nauona mkono wa mtu nyuma yake .[emoji53][emoji53][emoji53]
Basi mimi Malinzi simfahamu mkuu!Hapana mkuu siye,wao wamepelekwa Segerea!!