balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ok,mm sikuangalia nilipoona tu nikapata meaning nikajibu.Hiyo inaitwa Money Laundering sio Raundering Kama huyo kilaza alivyokuwa kaandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,mm sikuangalia nilipoona tu nikapata meaning nikajibu.Hiyo inaitwa Money Laundering sio Raundering Kama huyo kilaza alivyokuwa kaandika
Nakumbuka tukio tukio la malinzi kwenda kwa Edlow. Yule muhaya ni mtu wa fursa sanaMalinzi na Aveva wanafanana kitu kimoja wote baada ya kuchaguliwa walikwenda kujitambulisha kwa Edward Lowasa wakati huo akiwa ccm, wanasema ndege wafananao huruka pamoja
aliyetakatisha fedha ni kabulu, Nalinzi ni matumizi mabaya ya ofisi, inakubidi uwe na mtindio wa ubongo ili usihusishe kinachoendelea kwa sasa na masuala ya uchaguzi.Kutakatisha fedha kuna dhamana? muulize pedeshee ndama mutoto ya ng'ombe
Hii ni vita ndugu ,Lazima utafutiwe timing ili ukipewa ya mbavu usiinuke.Wao walikuwa wanajidai na FIFA haitaki kuingiliwa na serikali
aly mayai
unauhakika kabulu katakatisha? je umefuatilia mashitaka yote 28 ya malinzialiyetakatisha fedha ni kabulu, Nalinzi ni matumizi mabaya ya ofisi, inakubidi uwe na mtindio wa ubongo ili usihusishe kinachoendelea kwa sasa na masuala ya uchaguzi.
Hyu jmaa ana undugu na Mali ya nzi kbsa km sio baba ake bas mjomba wake
Africa kila kitu ni kama kubet, ni ujanja ujanja na ufirahuni. Naogopa hii isije kuwakuta wengine huko mbeleni kakafanywa ndo kamtindo kapya ka kuchukulia madarakaniAfrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!