Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Simpendi Malinzi, lakini sipendi zaidi vyombo vya dola kuingilia michakato ya kidemokrasia.
Hivi ndio alivyofanya James Comey wa FBI muda mfupi kabla ya uchaguzi wa USA, alitangaza matokeo ya uchunguzi kuhusu mgombea ambae alikuja kushindwa. Kwa nini wasingemu arrest muda mrefu kabla au baada ya uchaguzi?