Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Ndiooo maana hukumu baada ya kifo
Afrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
Sio ukiwahaii mkuu ujajuaa
 
Waingia na :-
DDfco9_W0AEPy__.jpg

Baadaye waondoka kihivi..
DDgJ12ZXUAAhJH4.jpg

Kweli JPM hana kurembesha kabisa...
 
Malinzi nakumbuka alivyokuwa bodi ya kahawa,baadae akawa na misemi ya kumwaga,pale knondoni block 41 ilikuwa shida
 
Hii thread aiyone GENTAMYCINE ... Safe place ya kuishi huyu fisadi Malinzi ni kuzimu.... Malinzi kamaliza kuliuwa soka la Tanzania....

Tunaposema mambo humu muwe mnatusikiliza. Nadhani kuna ambao tokea jana niliwaambieni kuwa ' System ' ikiamua haishindwi na kwamba kilichofanyika ni kutaka tu kumkwepesha Malinzi asihudhurie Usaili leo na hatimaye akose sifa ya Kutetea Kiti chake na ndicho kilichofanyika na kimefanikiwa tena kwa 100%. Namalizia kwa kusema kuwa ' Mission Accomplished ' na sasa njia ni nyeupe kabisa kwa anayetakiwa na ' System ' pamoja na wenye mpira wao Ally Mayai Tembele na Mzee Mtemi Ramadhan. Timing iliyofanyika ilikuwa ni ya ' Kimafia ' zaidi na Jamal E. Malinzi alijisahau sana na kudhani mambo yameisha na sasa yamemkuta.
 
This is bull shit man! Kama ana makosa no one denies makosa yake! But let the game flow! Agombee ashindwe! Or what is wrong kumshtaki akiwa ameshinda uchaguzi! Hizi personal issues katika mambo serious, are among other factors kwamba hili bara ni la giza! Sijawahi kumsurppot Malinzi katika uongozi wake especially issues za watu wa kabila lake pale TFF ila kwa hili nauona mkono wa mtu nyuma yake .[emoji53][emoji53][emoji53]
Yaani mwizi aruhusiwe kugombea urais TFF? NA pesa ya kurudia uchaguzi itoke wapi? Aende akavune alichopanda
Mayai for change

Basi Ali Mayai Tembeleee
 
Kutakatisha fedha kuna dhamana? muulize pedeshee ndama mutoto ya ng'ombe
Hii ni vita ndugu ,Lazima utafutiwe timing ili ukipewa ya mbavu usiinuke.Wao walikuwa wanajidai na FIFA haitaki kuingiliwa na serikali
Au uulize Kitiliya Shose na sioyi
 
Yaani mwizi aruhusiwe kugombea urais TFF? NA pesa ya kurudia uchaguzi itoke wapi? Aende akavune alichopanda
Hao ni watuhumiwa tu kaka till proved guilty by the court of law... Les try to avoid prejudice...
 
Hii kwa upande mwingine inamuaribia atakaye shinda. Watu watakuwa na chuki naye na kuonekana kama mfumo umembeba, amewekwa pale na watu na hakustahili.

Hasa mambo yatakapo kwenda mlama. Sioni Soka likisonga mbele baada ya uchaguzi itakuwa majungu tu.

Usimba Uyanga umezidi kwenye chama.
Umegusa penyewe kaka, back fire itahusu hapo mbele ya safari
 
Back
Top Bottom