Malinzi hata Website Umeshindwa? Unaweza nini sasa

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,227
Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi na Teknolojia Matumizi ya internet yamekuwa kwa kasi

Tunatarajia TFF iweze kutumia website yake kama chanzo kikuu cha taarifa

Sasa ukienda huko kwa website unakuta taarifa za zamani haziwi updated

Sasa nakuuliza malinzi...hata hili dogo tu umeshindwa lipi sasa utaweza kulifanya?

TFF | Result

09 Nov 2014
Vodacom Premier League

Mbona ameweza kumfungia Ndumbaro na kuzuia rufaa yake.

Mbona aliweza kuhamisha ofisi za TFF toka "Uswahilini" hadi "Town" mpaka "wanoko" wa FIFA walipochachamaa.

Mwaka jana mashindano ya vijana hayakufanyika chini ya uongozi wake.

Kwa hiyo kuna mambo anayaweza - suala ni kama yanasaidia kuendeleza soka letu au la! Tusubiri fitna uchaguzi ujao. Ile aliyofanyiwa yeye itakuwa cha mtoto!
 
Nashindwa kuelewa hili shirikisho linaelekea wapi

Wanapokea pesa nyingi kama grant kutoka FIFA lakini ku manage vitu vidogo kama hivi hawawezi

Juzi wakati wa kombe la dunia wamepokea pesa nyingi tu

Wanakata vilabu pesa nyingi tu

Kama huwezi kuonesha efficiency we cant see where that money goes
 
Walitoka kwenye ofisi yao isiyokuwa na kodi na kwenda kupanda kwa million 200! Sijui labda ana ka percent hapo. Amekuwa akilipwa hela nyingi ambazo labda zitakuja julikana vizuri akiondoka TFF. Huyu si kiongozi ni tapeli mwingine tu. Bora Tenga angeendelea. Alipoingia tu kamtimua kocha wa timu ya taifa bila sababu za maana na kumlipa hela nyingi ambazo zingefanya mambo mengine ya maana.

Fedha alizomlipa kocha Kim Poulsen na ambazo wamelipa pango la ofisi mjini zilitosha kuendesha mashindano ya vijana! Huyo ndio Malinzi. Muhula mmoja unamtosha. Kama anasoma alama za nyakati, uchaguzi ujao asichukue hata fomu.
 
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.
 
Last edited by a moderator:

Siboneke ahsante kwa muono wako na hayo kwako ndio makubwa aliyofanya Malinzi.Kwa taarifa yako:
-Program mbili kubwa za vijana za kitaifa zimeandaliwa na zinaanza.Moja ni kuandaa U17 ya mwaka 2017 kwa kuchukua dream team ya copa coca cola ya mwaka jana na kuihamishia boarding school kwenye academy ya Lord Baden.Pili kuandaa kwa mara ya kwanza nchini fainali za Afrika 2019 umri chini ya miaka 17.Mwaka huu April tunaunda National team U13 ambao watakua pamoja Alliance academy kuelekea 2019.
-Tunaanzisha sports centres kila mkoa watoto umri miaka 8-17 chini ya vyama vya mikoa.Kutakuwa na mashindano ya kanda ya vituo hivi.
-Ili kuendeleza youth football tumefanya kozi nyingi za makocha na waamuzi kuliko kipindi chote cha uongozi wa mpira nchi hii,you can check records.
-Tumerudisha ligi daraja la pili bila udhamini na TFF tunaigharimia 100%,matokeo yake club competitive football inachezwa karibia mikoa yote ya Tanzania
-Tumefanikiwa kuzindua na kuendesha Taifa cup ya wanawake kwa mara ya kwanza,mpira wa kina mama umechezwa nchi nzima
-Tumeazimia kurudisha Taifa cup ya wanaume mwaka huu na itarudi
-Tunaboresha kikosi chetu cha timu ya Taifa lengo ni kuwa na timu bora ya kuingia nayo CHAN mwezi June
-Mwaka huu tunarudisha FA cup na lengo ni kuviongezea vilabu na wachezaji idadi ya mechi
......nitaendelea
Niongezee pia kwa mara ya kwanza katika historia tumeingiza timu katika mashindano ya Afrika ya Beach soccer,mwezi ujao tunacheza na Kenya qualifiers
 
Last edited by a moderator:
Siboneke ahsante kwa muono wako na hayo kwako ndio makubwa aliyofanya Malinzi.Kwa taarifa yako:
-Program mbili kubwa za vijana za kitaifa zimeandaliwa na zinaanza.Moja ni kuandaa U17 ya mwaka 2017 kwa kuchukua dream team ya copa coca cola ya mwaka jana na kuihamishia boarding school kwenye academy ya Lord Baden.Pili kuandaa kwa mara ya kwanza nchini fainali za Afrika 2019 umri chini ya miaka 17.Mwaka huu April tunaunda National team U13 ambao watakua pamoja Alliance academy kuelekea 2019.
-Tunaanzisha sports centres kila mkoa watoto umri miaka 8-17 chini ya vyama vya mikoa.Kutakuwa na mashindano ya kanda ya vituo hivi.
-Ili kuendeleza youth football tumefanya kozi nyingi za makocha na waamuzi kuliko kipindi chote cha uongozi wa mpira nchi hii,you can check records.
-Tumerudisha ligi daraja la pili bila udhamini na TFF tunaigharimia 100%,matokeo yake club competitive football inachezwa karibia mikoa yote ya Tanzania
-Tumefanikiwa kuzindua na kuendesha Taifa cup ya wanawake kwa mara ya kwanza,mpira wa kina mama umechezwa nchi nzima
-Tumeazimia kurudisha Taifa cup ya wanawakw mwaka huu na itarudi
-Tunaboresha kikosi chetu cha timu ya Taifa lengo ni kuwa na timu bora ya kuingia nayo CHAN mwezi June
-Mwaka huu tunarudisha FA cup na lengo ni kuviongezea vilabu na wachezaji idadi ya mechi
......nitaendelea

I really appreciate the fact that you have taken your time to respond.

Utakubaliana nami kuwa mingi hapo bado ni mipango. Utekelezaji wa hayo ndio utatoa majibu sahihi. Hayo yote yakifanikiwa hata kwa asilimia 75, nitakuwa sina kelele. All the best!
 
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.
Sasa hio ni website au ni facebook page?
 
Last edited by a moderator:
Malinzi bora umekuja umetolea ufafanuzi na plan zako. Bravo!!! Ungekaa kimya ungeendelea kuoneka huna lolote .. All the best
 
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.

Asante kwa kuchukua muda wako kujibu

Lakini kukosekana kwa taarifa kuna gharama kubwa kuliko hio ya kusema unasubiria

Hapo TFF lazima mtakuwa na kitengo cha IT

Wanafanya nini? Kwa nini website hii ya sasa isitumike kwa ajili ya utoaji wa taarifa sahihi wakati wote

Wakati huo mnasubiri kutengeneza Web mpya.

Mh Malinzi.....Tunategemea ufanye kazi kwa speed...haya mambo ya kupeleka vitu kizeee hatuyataki...

Kwa nini watu wategemee vi blog vya kina shafii dauda,bin zubeiry na saleh Jembe kupata taarifa sahihi

TFF iko wapi.

Malinzi ,excuse unayotoa ni very weak.Ku develop website it takes hardly three days

cc Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.

Jibu zuri Mh Rais...

Tatizo hiyo website itakamilika lini? Wataalam waliobobea watakamalisha lini Tovuti...
Muda umepita sana kupewa ahadi ya kukamilisha jambo dogo kama hili...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo bwana Malinzi una mipango mizuri naomba ije kwenye utekelezaji mkuu.. Tunaumia sana sisi wadau wa soka msiendeshe nchi hii kama ccm.. Mara tupo mbioni, tupo kwenye mikakati hivyo vvyote tunataka viingie kwenye utekelezaji hata wa mwanzo na ukamilishe.. Pia kozi za ukocha mnatoaje nina ndoto ya muda mrefu kuwa kocha . Ningeweza kwenda kwenye website yenu ila haijajitosheleza kujua vigezo.. Naomba unisaidie nije kusaidia taifa langu kwenye soka la kimataifa kabla sijaondoka hapa duniani.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.

Tunashukuru Mwenyekiti umerespond haraka but kitu muhimu kwenye website ni content na zinakuwa update,Yanga/Azam wana website za kawaida lakini ziko update.
Tangu umeingia TFF ni zaidi ya mwaka sasa hiyo website sijui inatengenezwa kwa technology gani,tunajua una mipango mingi sana lakini utekelezaji wake ni mwendo wa konokono
 
Last edited by a moderator:
Mbona ameweza kumfungia Ndumbaro na kuzuia rufaa yake.

Mbona aliweza kuhamisha ofisi za TFF toka "Uswahilini" hadi "Town" mpaka "wanoko" wa FIFA walipochachamaa.

Mwaka jana mashindano ya vijana hayakufanyika chini ya uongozi wake.

Kwa hiyo kuna mambo anayaweza - suala ni kama yanasaidia kuendeleza soka letu au la! Tusubiri fitna uchaguzi ujao. Ile aliyofanyiwa yeye itakuwa cha mtoto!

Huyo jamaa malinzi kiazi kweli kazi yake kuendeleza ukabila na majungu, mi nilijuaga mtu wa maana kumbe ovyo, sasa rufaa ya ndumbaro mbna kimya
 
Mimi nakuuliza Malinzi hivi zile vurugu za ligi daraja la kwanza huzioni? Kuna mechi moja sijui ni ya morogoro refa anaruka Ukuta wa nyaya, yaani ni hatari kama darfur wewe umekaa kimya tu kwa nini? Mimi niliangalia michezo kituo flani hivi nikaona hiyo clip, yaani nilitoa hapo hapo maana wamemdhalilisha mzee wa watu, wewe umekaa kimya au kwa kuwa haina hela na huwezi kata ile 5per cent?
 
Back
Top Bottom