Malinzi hata Website Umeshindwa? Unaweza nini sasa

Malinzi hata Website Umeshindwa? Unaweza nini sasa

Ninachompendea huyu Jamal Malinzi ,huwa anajitahidi kuja hapa kufafanua mambo japokuwa huwa anatupiga siasa,ila huwa hakimbii mijadala kawa wenzie wa wa maCCM.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakuuliza Malinzi hivi zile vurugu za ligi daraja la kwanza huzioni? Kuna mechi moja sijui ni ya morogoro refa anaruka Ukuta wa nyaya, yaani ni hatari kama darfur wewe umekaa kimya tu kwa nini? Mimi niliangalia michezo kituo flani hivi nikaona hiyo clip, yaani nilitoa hapo hapo maana wamemdhalilisha mzee wa watu, wewe umekaa kimya au kwa kuwa haina hela na huwezi kata ile 5per cent?

Atajibu kamati ya nidhamu itakaa na kulijadili mpaka mwisho wa Ligi story Zitakuwa zilezile..Wenzetu kabla ya mchezo unaofuata swala lishatolewa uamuzi.

Malinzi haya mengine si utendaji wa kila siku. tu.?
 
Back
Top Bottom