Mbona ameweza kumfungia Ndumbaro na kuzuia rufaa yake.
Mbona aliweza kuhamisha ofisi za TFF toka "Uswahilini" hadi "Town" mpaka "wanoko" wa FIFA walipochachamaa.
Mwaka jana mashindano ya vijana hayakufanyika chini ya uongozi wake.
Kwa hiyo kuna mambo anayaweza - suala ni kama yanasaidia kuendeleza soka letu au la! Tusubiri fitna uchaguzi ujao. Ile aliyofanyiwa yeye itakuwa cha mtoto!
Nashindwa kuelewa hili shirikisho linaelekea wapi
Wanapokea pesa nyingi kama grant kutoka FIFA lakini ku manage vitu vidogo kama hivi hawawezi
Juzi wakati wa kombe la dunia wamepokea pesa nyingi tu
Wanakata vilabu pesa nyingi tu
Kama huwezi kuonesha efficiency we cant see where that money goes
Siboneke ahsante kwa muono wako na hayo kwako ndio makubwa aliyofanya Malinzi.Kwa taarifa yako:Walitoka kwenye ofisi yao isiyokuwa na kodi na kwenda kupanda kwa million 200! Sijui labda ana ka percent hapo. Amekuwa akilipwa hela nyingi ambazo labda zitakuja julikana vizuri akiondoka TFF. Huyu si kiongozi ni tapeli mwingine tu. Bora Tenga angeendelea. Alipoingia tu kamtimua kocha wa timu ya taifa bila sababu za maana na kumlipa hela nyingi ambazo zingefanya mambo mengine ya maana.
Fedha alizomlipa kocha Kim Poulsen na ambazo wamelipa pango la ofisi mjini zilitosha kuendesha mashindano ya vijana! Huyo ndio Malinzi. Muhula mmoja unamtosha. Kama anasoma alama za nyakati, uchaguzi ujao asichukue hata fomu.
Siboneke ahsante kwa muono wako na hayo kwako ndio makubwa aliyofanya Malinzi.Kwa taarifa yako:
-Program mbili kubwa za vijana za kitaifa zimeandaliwa na zinaanza.Moja ni kuandaa U17 ya mwaka 2017 kwa kuchukua dream team ya copa coca cola ya mwaka jana na kuihamishia boarding school kwenye academy ya Lord Baden.Pili kuandaa kwa mara ya kwanza nchini fainali za Afrika 2019 umri chini ya miaka 17.Mwaka huu April tunaunda National team U13 ambao watakua pamoja Alliance academy kuelekea 2019.
-Tunaanzisha sports centres kila mkoa watoto umri miaka 8-17 chini ya vyama vya mikoa.Kutakuwa na mashindano ya kanda ya vituo hivi.
-Ili kuendeleza youth football tumefanya kozi nyingi za makocha na waamuzi kuliko kipindi chote cha uongozi wa mpira nchi hii,you can check records.
-Tumerudisha ligi daraja la pili bila udhamini na TFF tunaigharimia 100%,matokeo yake club competitive football inachezwa karibia mikoa yote ya Tanzania
-Tumefanikiwa kuzindua na kuendesha Taifa cup ya wanawake kwa mara ya kwanza,mpira wa kina mama umechezwa nchi nzima
-Tumeazimia kurudisha Taifa cup ya wanawakw mwaka huu na itarudi
-Tunaboresha kikosi chetu cha timu ya Taifa lengo ni kuwa na timu bora ya kuingia nayo CHAN mwezi June
-Mwaka huu tunarudisha FA cup na lengo ni kuviongezea vilabu na wachezaji idadi ya mechi
......nitaendelea
Sasa hio ni website au ni facebook page?Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.
Freeland website ya TFF niliyoikuta haikidhi mahitaji yetu hivyo tunavyozungumza tovuti mpya yenye mwonekano mpya wa kisasa inajengwa na wataalam waliobobea katika taaluma.Ikiwa tayari hewani wadau mtajulishwa.Itakuja na huduma zilizoboreshwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa ya kujadiliana mijadala moja kwa moja,updates hadi za video na kadhalika.
Mbona ameweza kumfungia Ndumbaro na kuzuia rufaa yake.
Mbona aliweza kuhamisha ofisi za TFF toka "Uswahilini" hadi "Town" mpaka "wanoko" wa FIFA walipochachamaa.
Mwaka jana mashindano ya vijana hayakufanyika chini ya uongozi wake.
Kwa hiyo kuna mambo anayaweza - suala ni kama yanasaidia kuendeleza soka letu au la! Tusubiri fitna uchaguzi ujao. Ile aliyofanyiwa yeye itakuwa cha mtoto!
Naomba uangalie website za CAF na FIFA.website yetu mpya inajengwa kwa utaratibu huo.
Huyu jamaa sina imani naye toka alivyofitini mwadui fc kuingia ligi kuu, nahitaji uchaguzi uwe hata kesho..