duh mkuu una hasira nae sana, ni mpila tuu au kuna issue zaidiMkuu mbona inaonekana ulikuwapo kwenye huo mkutano! Na kama ulikuwapo na ukashindwa kumtia vibao nitakulaumu sana. Watu kama hao ukichapa makofi umati wa watanzania watakupongeza sana
..hahahahaha..akija niambie,maana na wewe ulimpigia sana debe@BishangaJamal Malinzi nakuomba ukuje hapa utujibu kwa ufasaha.
kumbuka tuliokupigia debe ni sisi sisi wana jf adi ukapata huo ushindi, tulikesha water front tukisubiriamatokeo yako na ukaja apa kutushukuru na kutuomba tukusaidie ili uweze kuongoza tff leo hii inakuwaje unafanya haya?
hebu njoo japo ukanushe basi hizi tuhuma hapa
Anafanya nini huko?yuko segerea