Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Nimenunua "champaigne" kwa ajili ya kusherekea hilo. Michael Wambura na Amos Makalla watetezi wake wameingia mitini.
 
hakuna lolote mifano iko mingi angalia sehemu zote zinazoongozwa na hawa majamaa huwa na ukabila na kuwekana kwa kijinga jinga tu na kipuuzi puuzi tu...ukinipa sababu kwanini alimtimua Kim na kumleta huyu babu labda nitakuelewa ila kinyume na hapo Wahaya ni Wapuuzi tu

Sasa mkuu kati ya Kim na huyo Babu aliyemleta nani kati yao ni Mhaya ili Ukabila wa malinzi uthibitike?
 
TFF-Tanzania Fitna Federation Aondoke tuu,Asipo ondoka tunamuondoa. Maana hatuna namna tena.
 
Ubaguzi wa kikabila mkuu bado upo sana. Ukitaka kuujua nenda kagombee udiwani au Ubunge katika majimbo ya uchaguzi Vijijini ambayo wakazi wake siyo wa kabila lako uone kama utashinda uchaguzi!

Basi ni hatari sana
 
hakuna lolote mifano iko mingi angalia sehemu zote zinazoongozwa na hawa majamaa huwa na ukabila na kuwekana kwa kijinga jinga tu na kipuuzi puuzi tu...ukinipa sababu kwanini alimtimua Kim na kumleta huyu babu labda nitakuelewa ila kinyume na hapo Wahaya ni Wapuuzi tu

Kama historia ni somo ulilofaulu shuleni naomba ujibu maswali haya
1. Muhidin Ndolanga aliiongoza FAT kwenye 90s , je, ni muhaya?
2.Rage ( Aden ) alikuwa katibu FAT wakati huo , je, ni muhaya?
3.Boniface Wambura alishawahi kuwa katibu pia je; ni muhaya?
Kuna mafanikio yoyote ya maana ktk soka la Tz walilotuletea?
4.Waliomchagua Jamali Malinzi ni wahaya?
Naomba kushauri tuwe tunajadili hoja na sio makabila ya watu.Hapa duniani kila kabila ni bora. Udhaifu ni hulka ya kila binadamu kama unabisha niletee mtu wa kabila lako asiye na udhaifu halafu nitakutangaza kuwa role model wangu.
 
Sawa nshomile MULOKOZI akimtetea nshomile MALINZI

Wale wale wapuuuzzz
 
Natamani aondoke ...Tenga arudi kwa interim...Then tumpatie Nehemia Mchechu...ni bora kuliko
 
TFF-Tanzania Fitna Federation Aondoke tuu,Asipo ondoka tunamuondoa. Maana hatuna namna tena.
Hebu angalia haya matokeo mengine, tunajifunza nini!? Watanzania kuna haja ya kukaa na ktafakari badala la kulaumu kana kwamba kuna kitu ambacho tunaweza kujivunia kuwa tumekifanya vizuri! Tatakari zaidi kwenye hizo red.
Chan 2016 - RESULTS:
Ethiopia 2 - 0 Kenya
Lesotho 0 - 0 Botswana
Swaziland 2 - 2 Angola
Tanzania 0 - 3 Uganda
Namibia 2 - 1 Zambia
South Africa 3 - 0 Mauritius
Zimbabwe 2 - 0 Comoros
Senegal 3 - 1 Gambia
Guinea Bissau 1 - 1 Mali
Djibouti 1 - 1 Burundi
Mauritania 2 - 1 Sierra Leone
Mozambique 5 - 1 Seychelles

Usichoelewa ni kuwa lawama kwa nduguyo malinzi hazitokani na matokeo ya mechi moja, bali ni mlolongo wa matukio. Utaaibika bure
 
Last edited by a moderator:
Sawa nshomile MULOKOZI akimtetea nshomile MALINZI

Wale wale wapuuuzzz

Mimi sijui kutukana mtu. Hapo sikutetea mtu nataka watu wasiendekeze ukabila tuangalie matatizo ya msingi na kimfumo ili kukwamua soka letu. Hata ukinitukana haitasaidia kuinua soka letu.
 
Back
Top Bottom