Malinzi na Mwesigwa waendelea kuzoeshwa maisha ya kuishi Segerea

Malinzi na Mwesigwa waendelea kuzoeshwa maisha ya kuishi Segerea

Hivi hili tukio watuhumiwa ni hao wawili tu?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Muda mchache uliopita Viongozi wa TFF Rais Jamal Emil Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wamerudishwa tena Segerea hadi tarehe 31 mwezi huu ambapo Kesi yao itatajwa tena baada ya upande wa Washtaki kukataa ombi la Mawakili wa hawa Viongozi.

Nawasilisha.
Safi ni hatua muhimu kuelekea kujenga na kuimarisha misingi ya usimamiz mzuri wa Mali za Tff na utendaji kazi , hii itatoa somo kwa viongoz wengine juu ya umuhimu wa kuepuka ufisadi kwa sababu vyombo vyetu vya ulinzi hawatakaa kimya .

Acha sheria ifuate mkondo wake
 
Back
Top Bottom