Malipo kwa gari kuukuu.

Malipo kwa gari kuukuu.

Jamesh

Member
Joined
Jul 15, 2008
Posts
31
Reaction score
2
Wana JF, kuna mtu yeyote anafahamu gharama za malipo ya gari (used) baada ya kufika bandarini. Mfano umeagiza used car kutoka Japan ikiwa imekwisha kulipiwa gharama za usafirishaji (freight cost) je kuna gharama gani (iwe ni kwa idadi ya pesa au asilimia) ambazo utatakiwa kulipia ili uweze kuanza kulitumia gari lako?

Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaojitolea kunifahamisha.
 
go to www.gariyangu.com utapata gharama zote (it is estimate) mimi imenisaidia sana!!!!
ila kumbuka utalipa import duty, dumping tax (gari >10yrs), VAT, excise duty, port charges, shipping line etc.
 
Jamesh, Refer gariyangu.com nimeona kwenye site hii shipping line ni USD 75 wakati mimi nimelipa USD 198; port charge wanasema Tsh. 227,850 wakati mimi nililipa 420,000 TSh...
habari ndiyo hiyo!!
 
Asante kwa maelezo mazuri Kanyagio, je kuna tofauti ya gharama au muda unapotumia bandari nyingine mf. Mombasa?
 
Asante kwa maelezo mazuri Kanyagio, je kuna tofauti ya gharama au muda unapotumia bandari nyingine mf. Mombasa?

Mombasa wako faster kidogo sema tatizo ni TRA hapo border ya Namanga. Kwa hiyo maandalizi ni muhimu mapema ili ukienda kulichukuwa unapeta nalo moja kwa moja hadi Dar iwapodestination ya gari ni Dar. Pia bandari ya mombasa ni mara chache sana utalipia gharama za kulaza gari pale. Wale jamaa pale wako serious na kazi na wana shift 3. Baadhi ya mizigo ya kwenda kampala inapitia Mombasa, baadhi ya wanaarusha wanatumia bandari ya mombasa. Dadavua hii document itakupa mwanga kuhusu port of mombasa.
 
Attachments

Wana JF, kuna mtu yeyote anafahamu gharama za malipo ya gari (used) baada ya kufika bandarini. Mfano umeagiza used car kutoka Japan ikiwa imekwisha kulipiwa gharama za usafirishaji (freight cost) je kuna gharama gani (iwe ni kwa idadi ya pesa au asilimia) ambazo utatakiwa kulipia ili uweze kuanza kulitumia gari lako?

Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaojitolea kunifahamisha.

Hii topic imeshafafanuliwa vizuri sana na wadau, jaribu kusearch humu utaipata tu, kuna maelezo ya kina sana kuhusu gharama zote
 
Back
Top Bottom