Malipo kwa gari kuukuu.

Malipo kwa gari kuukuu.

Jamesh

Member
Joined
Jul 15, 2008
Posts
31
Reaction score
2
Wana JF, kuna mtu yeyote anafahamu gharama za malipo ya gari (used) baada ya kufika bandarini. Mfano umeagiza used car kutoka Japan ikiwa imekwisha kulipiwa gharama za usafirishaji (freight cost) je kuna gharama gani (iwe ni kwa idadi ya pesa au asilimia) ambazo utatakiwa kulipia ili uweze kuanza kulitumia gari lako?

Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaojitolea kunifahamisha.
 
Back
Top Bottom