Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Salamu wakubwa, naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu malipo kwa paypal, mimi ni mgeni kabisa mambo haya.
Kuna mtu amenielekeza nije kutafuta topic huku jamiiforum lakini inanitoa ushamba nimesechi sijaona kitu. Kuna vitu huwa nauza na kuna wateeja wangu wanapenda wanilipe kwa paypal inakuwaje? Naombeni maelezo ya kina wakubwa mimi ni mgeni kabisa.
Je ni hizi akaunti wanazounganisha na CRDB kwenye paypal wanakuwa wananunua vitu ebay pia zinaweza kupokea pesa? Ina maana nikishafungua payapl nikaunganisha na kadi yangu ya CRDB mtu akinitumia pesa anasema naweza kuihamishia mara moja kwenye akaunti ya benki na hata nikiangalia salio kwenye ATM naona limeongezeka, au kuna process nyingine?
Nasikia ili paypal iweze kupokea pesa, mfano dola elfu moja lazima iwe imetuika muda wa miezi kadhaa na kuna transaction history inaonesha kuwa ni akaunti hai la sivyo pesa haiingii? Maswali mengi wakubwa mengine nasahau, kwa ujumla nataka kufahamu kila kitu.
Msinicheke jamani najifunza, mitandao mingine naona sipati majibu watu hawajui.