Malipo kwa PAYPAL

Malipo kwa PAYPAL

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Salamu wakubwa, naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu malipo kwa paypal, mimi ni mgeni kabisa mambo haya.

Kuna mtu amenielekeza nije kutafuta topic huku jamiiforum lakini inanitoa ushamba nimesechi sijaona kitu. Kuna vitu huwa nauza na kuna wateeja wangu wanapenda wanilipe kwa paypal inakuwaje? Naombeni maelezo ya kina wakubwa mimi ni mgeni kabisa.

Je ni hizi akaunti wanazounganisha na CRDB kwenye paypal wanakuwa wananunua vitu ebay pia zinaweza kupokea pesa? Ina maana nikishafungua payapl nikaunganisha na kadi yangu ya CRDB mtu akinitumia pesa anasema naweza kuihamishia mara moja kwenye akaunti ya benki na hata nikiangalia salio kwenye ATM naona limeongezeka, au kuna process nyingine?

Nasikia ili paypal iweze kupokea pesa, mfano dola elfu moja lazima iwe imetuika muda wa miezi kadhaa na kuna transaction history inaonesha kuwa ni akaunti hai la sivyo pesa haiingii? Maswali mengi wakubwa mengine nasahau, kwa ujumla nataka kufahamu kila kitu.

Msinicheke jamani najifunza, mitandao mingine naona sipati majibu watu hawajui.
 
Salamu wakubwa, naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu malipo kwa paypal, mimi ni mgeni kabisa mambo haya, kuna mtu amenielekeza nije kutafuta topic huku jamiiforum lakini inanitoa ushamba nimesechi sijaona kitu. Kuna vitu huwa nauza na kuna wateeja wangu wanapenda wanilipe kwa paypal inakuwaje? Naombeni maelezo ya kina wakubwa mimi ni mgeni kabisa =Je ni hizi akaunti wanazounganisha na crdb kwenye paypal wanakuwa wananunua vitu ebay pia zinaweza kupokea pesa? =Ina maana nikishafungua payapl nikaunganisha na kadi yangu ya crdb mtu akinitumia pesa anasema naweza kuihamishia mara moja kwenye akaunti ya benki na hata nikiangalia salio kwenye atm naona limeongezeka, au kuna process nyingine? =Naskia ili paypal iweze kupokea pesa, mfano dola elfu moja lazima iwe imetuika muda wa miezi kadhaa na kuna transaction history inaonesha kuwa ni akaunti hai la sivyo pesa haiingii? Maswali mengi wakubwa mengine nasahau, kwa ujumla nataka kufahamu kila kitu, msinicheke jamani najifunza, mitandao mingine naona sipati majibu watu hawajui.
Soma hapa Manunuzi kwa Ebay

Au Hapa
 
Habari zenu wanaJF, mimi huwa nazungukazunguka sana mitanadao kutafuta fursa za kazi lakini nyingi ninzopata malipo yao hufanya kupitia PayPal. Na kuna nyingine nimekutana nayo leo inataka niwe na account ya PayPal. Sasa nauliza, kwa hapa Tanzani huduma hii ipo? Kama kuna mtu ana uzoeufu wa kutumia PayPal hapa TZ tafadhali naomba ashee nami uzoefu wake.

Hii kazi nimepata HUKU waweza na wewe kuangalia kama inakufaa.
 
Back
Top Bottom