Malipo kwa wanawake ni ndoto!

Malipo kwa wanawake ni ndoto!

Nimekuja kugundua sasa hivi familia nyingi wanaoleta mahitaji na kuhudumia watoto ni wanawake sema tu wengi hawasemi wanawafichia aibu waume zao, na wanaume wamebaki kujitetea kwa kutembea mule mule kwenye ile mentality ya watu wengi kwamba mwanaume ndiye mtafutaji na ndiye anayehudumia familia ilihali kwenye familia nyingi huo si uhalisia, lakini lazima mtambue kwamba kama mwanamke naye anatafuta pesa basi hana wajibu wa kufanya kazi za nyumbani hizo ni kazi za mama wa nyumbani tu anayehudumiwa na mumewe
Wanawake wa sayari ipi mkuu?
 
Hiyo ishu kuna watu wanafanya serious na mke anadai chake kabsa,jamaa yangu alimwachisha mke wake kazi na kutaka akae nyumbani mkewe alikuwa analipwa 300k..so jamaa ndo anamlipa hyo mkewe kila mwisho wa mwezi na matumizi yapo pale pale pamoja na kumhudumia yaan hela za kusuka nguo kila kitu lkn 300k ipo pale pale
 
hii umeamua mwenyew haina shida.. ila sio yeye ndo aamue
 
Hiyo ishu kuna watu wanafanya serious na mke anadai chake kabsa,jamaa yangu alimwachisha mke wake kazi na kutaka akae nyumbani mkewe alikuwa analipwa 300k..so jamaa ndo anamlipa hyo mkewe kila mwisho wa mwezi na matumizi yapo pale pale pamoja na kumhudumia yaan hela za kusuka nguo kila kitu lkn 300k ipo pale pale
Waambie hao,
Tukisema watafute pesa kila kitu kinawezekana tunaitwa feminist....
 
Zama za mwisho hizi Ibilisi anatumia silaha (mwanamke) ile ile kama aliyotumia Mwanzonipale Edeni
 
Back
Top Bottom