Malipo kwa wanawake ni ndoto!

Wanawake wa sayari ipi mkuu?
 
Hiyo ishu kuna watu wanafanya serious na mke anadai chake kabsa,jamaa yangu alimwachisha mke wake kazi na kutaka akae nyumbani mkewe alikuwa analipwa 300k..so jamaa ndo anamlipa hyo mkewe kila mwisho wa mwezi na matumizi yapo pale pale pamoja na kumhudumia yaan hela za kusuka nguo kila kitu lkn 300k ipo pale pale
 
hii umeamua mwenyew haina shida.. ila sio yeye ndo aamue
 
Waambie hao,
Tukisema watafute pesa kila kitu kinawezekana tunaitwa feminist....
 
Zama za mwisho hizi Ibilisi anatumia silaha (mwanamke) ile ile kama aliyotumia Mwanzonipale Edeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…