Malipo kwa wenyeviti na wenezi CCM (wilaya, mkoa na taifa)

Bora ungekaa kimya tu, tukaendelea kudhani una akili japo kidogo!
Kumbe wewe ni pumba.vu hivi!!!
CCM kumejaa watu wajinga wajinga sana!
Jitu zima halijui hata kama Nchi iko ktk mfumo wa Vyama vingi na wala halijui hata mipaka ya Chama na Serikali!
Yaani ujinga hadi aibu naona Mimi!!!
 
Kama ni hivyo mbona wakipata hivyo vyeo huwa na maendeleo ya ghafla, vitambi nk, tusaidie hayo maendeleo utoka wapi?
Sijafuatilia hili - kumbuka wapo wanaonenepa bila kuwa na madaraka yoyote
 
Sawa,
Tofauti ya Imani ya kidini ni kwamba muumini anaamini atalipwa mbinguni "ufalme"; ila kwenye chama hakuna phrase hiyo.

Nabaki kukiomba CCM kutizama nafasi hizo mbili
 
Kama nafas mnaziomba kwa kuhonga huku mkijua hazina maslahi ni ujinga ila najua wengi huanzia huko kama sehemu ya kuvizia uteuzi kutoka serikalini
Very unfortunately sijawahi kuomba kuwa na nafasi yoyote ndani ya Chama "mwanachama hai tu"
 
CCM ni janga ujue.
Hii mada mngeenda kushauriana kwenye whatsapp zenu kwa sababu tija yake kwa taifa haipo
 
Sawa,
Tofauti ya Imani ya kidini ni kwamba muumini anaamini atalipwa mbinguni "ufalme"; ila kwenye chama hakuna phrase hiyo.

Nabaki kukiomba CCM kutizama nafasi hizo mbili
Na sisi wanaCCM tunaamini ushindi wa chama chetu Kila uchaguzi ndiofahari yetu. CCM ni Imani, na itatumikiwa na wenyeimani thabiti, bila kujali wanalipwa au laaa. CCM sio maslahi, apanaaa.
 
Na sisi wanaCCM tunaamini ushindi wa chama chetu Kila uchaguzi ndiofahari yetu. CCM ni Imani, na itatumikiwa na wenyeimani thabiti, bila kujali wanalipwa au laaa. CCM sio maslahi, apanaaa.
Eti ccm ni imani. Kalagha baho.....wenzako wanatusua mapesa we umekalia maneno matupu. Wakujuu zako utawaachia umaskini tu
 
Eti ccm ni imani. Kalagha baho.....wenzako wanatusua mapesa we umekalia maneno matupu. Wakujuu zako utawaachia umaskini tu
Hata kwenye Imani za dini viongozi wanatusua mapesa lakini waumini hawalalamiki, Kwa kuwa ni imanii, angalia viongozi wadini walivyo na mafanikio makubwaa na huku waumini wao wakibakiwa na Imani thabiti, kwani umeona msikiti au kanisa linafungwa au waumini wanalalamika? Hivyo kuwa Mwanaccm, ni Imani thabiti, inayotakiwa uitumikie sio Imani ikitumikieee. Ndio MAANA CCM haiteteleki hata kama itapitia misukosuko gani, lakini mwisho wa siku chama kinabaki imala zaidi. Ni tofauti na vyama vyenu mlivyovijenga kwenye misingi ya ulaji, fedha ndogo tuu inawagombanisha adi mnasambaratika. Karibu CCM uwe na Imani thabiti.
 
Na kuwashangilia wale walnaopita na mavieite barabarani !!
 
Na kuwashangilia wale walnaopita na mavieite barabarani !!
Kwani kwenye Imani zetu za dini, viongozi hawafanikiwiii?? Acha wivu, angalia kiongozi wako wadini kama nimasikini kama wewe, na kama nimasikini kama wewe ujue Hilo dini lenu mnalaana. Hivyo nilazima tuwashangilie wenye V8 zao kwani ndio nafasi Yao, CCM itajengwa na wenyeimani sio wasakatonge. Ndio MAANA kwenyeccm ukitanguliza uchu wa fedha unashugulikiwa Kwa adhabuu kubwaa, kwani sisi kwenyechama tunatanguliza UTUMISHI wa kukitumikia chama kwanzaa. Umeeelewaa??
 
Nikaribie ccm kuwa mchawi?
 
Sijui Kwa nini watu wa CCM wengi mnawaza ujinga Kila siku? Mnajiona mna haki na fedha za Wananchi wenzenu ambazo hamzifanyii kazi yoyote. Kwa Kazi gani mnazowafanyia Wananchi nyie wenyeviti na waenezi wa CCM mstahili kulipwa fedha zào?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…