Malipo kwa wenyeviti na wenezi CCM (wilaya, mkoa na taifa)

Kumbe ni Dini ?!!! Nilikuwa nadhani ni Chama cha siasa 🤣🤣🤣
 
Ungeoeleka hoja yako kwenye vikao vya kikundi chenu.Hapa utapata negative responses.
 
fedha za maendeleo ya jimbo hawwezi kulipwa ccm viongozi wa ccm je hilo jimbo napo likichukuliwa na upinzani fedha hizo unazipataje. hizo hela haziguswi siyo za chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…