Malipo/michango isio takiwa kulipwa lakin watz tunalipa bila kuhoji kwa sababu ya woga

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
1-pesa ya taka
Kwa dar hii pesa ya taka inakusanywa kiholela Ina tagemea na eneo kuna wanalipa 2000---mpaka 7000 pesa za wavuja jasho zipigwa n'a kikund Cha Watu wachache hakuna anaehoji

 2-pesa za ulinzi shirikishi .
pesa zinakusanywa kiholela na watuu wanalipa tu .

Kodi tunalipa halafu Kuna michango Mingi ya hovyo.

Kama michango inalipwa serikali ije full informations n'a
Vijana wanaohusika kubeba taka n'a ulinzi Iwe ni Kaz rasmi waangie kwenye payroll hâta kama watakua wachache na mishahara kiduchu Iwe hivyo

tatiZo watanzania wengi hatuna Tabia ya kuhoji tunatengeneza kizaz Cha ushabiki WA Simba na yanga tu .

Nenda denimark uone mambo yanavyoenda. Wananch wananguvu ya kuhoji mambo na viongozi hawAfanyi masihara manake wanajua wakizingua tu watu watakuja n'a watawaondoa madarakani.
 
Taka zitupeleke Denmark kweli?
Hatuna nauli chief
Wewe ukihoji inatosha ukipata majibu tuletee
 
Sema mm naona michango mingine kama taka ni muhimu, kusafisha mazingira yetu ni muhimu, ukisema tufanyiwe na serikali kuu watu wa vijijini watasema mbona wao hawatolewi na Serikali,

Kuhusu ulinzi shirikishi hapa serikali imekwepa jukumu lake,
Ingawa kweli ulinzi shirikish unasaidia
 
Wajumbe wa nyumba 10 wanaweza maliza ujambazi nchini.
 
Na hapa ndipo palipotuletea shida kubwa mno nchi hii kutokuwajali watu hawa kwani hata sensa kusingekuwa na maana yoyote ya kutenga mabilioni ya shilingi kufisadiwa wakati hili zoezi lingeweza kufanywa kwa umakini wa hali ya juu tena kwa muda mfupi mno
 
1-pesa ya taka
Kwa dar hii pesa ya taka inakusanywa kiholela Ina tagemea na eneo kuna wanalipa 2000---mpaka 7000 pesa za wavuja jasho zipigwa n'a kikund Cha Watu wachache hakuna anaehoji

 2-pesa za ulinzi shirikishi .
pesa zinakusanywa kiholela na watuu wanalipa tu .

Kodi tunalipa halafu Kuna michango Mingi ya hovyo.

Kama michango inalipwa serikali ije full informations n'a
Vijana wanaohusika kubeba taka n'a ulinzi Iwe ni Kaz rasmi waangie kwenye payroll hâta kama watakua wachache na mishahara kiduchu Iwe hivyo

tatiZo watanzania wengi hatuna Tabia ya kuhoji tunatengeneza kizaz Cha ushabiki WA Simba na yanga tu .

Nenda denimark uone mambo yanavyoenda. Wananch wananguvu ya kuhoji mambo na viongozi hawAfanyi masihara manake wanajua wakizingua tu watu watakuja n'a watawaondoa madarakani.
Halmashauri wanachukua service Levy na Bado hela ya taka wanataka Sasa sijui ni service gani wanazotoa
 
Ikifika January watu wanakuwa wachumi.. safii mkuu..
 
Cha ajabu tangu nihamie masaki sijawai kutana na michango ya kiboya [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo si kuhoji,
Watanzania hatuna upendo wala umoja tumetawaliwa na unafki na kuchekana basi!!!
 
Dunia ya leo hakuna cha bure

Kikubwa watu tunalipa na kama hakuna kinachofanyika tunahoji

Ova
 
1-pesa ya taka
Kwa dar hii pesa ya taka inakusanywa kiholela Ina tagemea na eneo kuna wanalipa 2000---mpaka 7000 pesa za wavuja jasho zipigwa n'a kikund Cha Watu wachache hakuna anaehoji

 2-pesa za ulinzi shirikishi .
pesa zinakusanywa kiholela na watuu wanalipa tu .

Kodi tunalipa halafu Kuna michango Mingi ya hovyo.

Kama michango inalipwa serikali ije full informations n'a
Vijana wanaohusika kubeba taka n'a ulinzi Iwe ni Kaz rasmi waangie kwenye payroll hâta kama watakua wachache na mishahara kiduchu Iwe hivyo

tatiZo watanzania wengi hatuna Tabia ya kuhoji tunatengeneza kizaz Cha ushabiki WA Simba na yanga tu .

Nenda denimark uone mambo yanavyoenda. Wananch wananguvu ya kuhoji mambo na viongozi hawAfanyi masihara manake wanajua wakizingua tu watu watakuja n'a watawaondoa madarakani.
Watu wengi hatulipi kodi kwa kuwa hatuna kazi rasmi ambapo serikali inaweza kukata moja kwa moja kwenye mishahara, pesa ya ulinzi na taka lazima utalipa kwa kuwa ni nyumba kwa nyumba hakuna pa kujificha. Lipa hizo tozo tuwe na makazi safi na salama.
 
Taka zitupeleke Denmark kweli?
Hatuna nauli chief
Wewe ukihoji inatosha ukipata majibu tuletee
Hapana mkuu
Tuthamini alicho Kilenga mtoa maada kajitahidi kufikiri kutoka nje ya box
 
Back
Top Bottom