funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Watanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo.
Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote.
Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu.
Leo hii Gwajima anaipigia magoti Taasisi hii ya kidini ili imsaidie kwenye sakata lake alilojitafutia mwenyewe.
Ama kwa hakika malipo ni hapa hapa duniani