Mods, hii ihamie kwenye jukwaa la historiaWatanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo.
Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote.
Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu.
Leo hii Gwajima anaipigia magoti Taasisi hii ya kidini ili imsaidie kwenye sakata lake alilojitafutia mwenyewe.
Ama kwa hakika malipo ni hapa hapa duniani
Mnatafuta sympathy lakini wananchi hawawaelewiBado kidogo utawehuka mjinga wao.
Vipi Samia aliyewaita watanzania mbwa wapumbavu akiwa Tanga pale malipo yake ni lini?
Inabidi ufungue bendi ya taarab kwa sasa maana walichoongea kina Gwajima na Polepole hadi sasa hakuna walioweza kujibu hoja zao ukiwemo wewe mjinga wao.
View: https://youtu.be/uosWeHMG6VU?si=t9mvNy12q292Lh9d
Nakuuliza tena.Mnatafuta sympathy lakini wananchi hawawaelewi
Wanamtandao wa majizi wanaanza kutubu lini?Na hata sasa atarudi kutubu ni swala la muda tu
Kwamba what goes around comes around ausio!
Ni kweli kabisa Askofu Gwajima, alimtukana sana Mwadhama Polycarp, Kardinali PengoWatanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo.
Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote.
Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu.
Pamoja na yote aliyoyasema nyuma dhidi ya Catholic church iwapo kwa sasa anapambana dhidi ya maadui wakubwa wa ustawi wa nchi akina JK, Rostam, Samia na timu yote ya wanamtandao huyo tunamsamehe na tunajumuika naye kwenye mapambano mpaka tutakapojikomboa kutoka kwa hayo majambazi. Alilikosea kanisa ila amerudi njia sahihi na haijalishi hata kama amerudi kwa kuwa ndiyo refuge pekee iliyokubali kumpokea, vita tuluyonayo kwa sasa ni dhidi na mafisadi majambazi.Watanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo.
Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote.
Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu.
Leo hii Gwajima anaipigia magoti Taasisi hii ya kidini ili imsaidie kwenye sakata lake alilojitafutia mwenyewe.
Ama kwa hakika malipo ni hapa hapa duniani
Kama ni hivyo hata mafisadi wanaweza kusamehewa one day.Pamoja na yote aliyoyasema nyuma dhidi ya Catholic church iwapo kwa sasa anapambana dhidi ya maadui wakubwa wa ustawi wa nchi akina JK, Rostam, Samia na timu yote ya wanamtandao huyo tunamsamehe na tunajumuika naye kwenye mapambano mpaka tutakapojikomboa kutoka kwa hayo majambazi. Alilikosea kanisa ila amerudi njia sahihi na haijalishi hata kama amerudi kwa kuwa ndiyo refuge pekee iliyokubali kumpokea, vita tuluyonayo kwa sasa ni dhidi na mafisadi majambazi.