Malipo ni hapa hapa kuna mwaka Gwajima alimtusi Mkatoliki Kadinali Pengo

Lisu alitumika kama kondomu na genge la mtandao.

Sasa wamemtupa
 

Mbona wakatoliki nao padre kapigwa tatizo hapa ni kiongozi wetu wa nchi na vikundi vyake
 
Hii ndio Tanzania,ukifuatilia hakuna mwanasiasa ambaye hana kauli tata/kebehi kwa umma au kundi fulani.
Namuomba Mungu kizazi changu kisijihusishe na siasa katika nchi yetu .
 
Sikia ndugu uyu Gwajima kachezea tu Wasukuma wenzie Mzee Pengo na Paul Makonda yakaisha kimtindo!!! Kazoea tabia ya kuchokoza watu mwaka huu kayakanyaga!!! Hakuna mbeleko ya Kisukuma✍️
Pengo ni msukuma?
 
Njaa ilivyowapiga maaskofu wa Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…