segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 260
Kweli dunia ya leo MALIPO ka Internet ya AIRTEL yani very faster, kuna huyu dadangu wa kusoma pamoja ALIPORA/NYANGANYA mpenzi wa mtu, mapenzi haya mapya yakasogea siku kadha wa kadha huku huyu dada akionesha kiburi cha elimu na majivuno mengi kuwa yuko kwenye uhusiano KAMILIFU/IMARA..mara ghafla bin vuu jamaa yake kampa report kuwa MAPENZI yao YAMEKWISHA na jamaa anadai alikubali kuwa naye ili AMFAIDI tu kwani alijirahisisha mno mbele yake..mwezi ujao jamaa ANAOA mpenzi wake wa mwanzo..mara 2 zote dada kakamatwa KITUO cha basi na kurudishwa home akitaka kukimbia mji..ushauri wako tafadhari sasa huyu dada hajipati hata kidogo na haamini tena kama atakuja kupendwa..
(Nawasilisha)
(Nawasilisha)