Malipo ni hapahapa duniani sasa mji mchungu kwa huyu dada

segere

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
539
Reaction score
260
Kweli dunia ya leo MALIPO ka Internet ya AIRTEL yani very faster, kuna huyu dadangu wa kusoma pamoja ALIPORA/NYANGANYA mpenzi wa mtu, mapenzi haya mapya yakasogea siku kadha wa kadha huku huyu dada akionesha kiburi cha elimu na majivuno mengi kuwa yuko kwenye uhusiano KAMILIFU/IMARA..mara ghafla bin vuu jamaa yake kampa report kuwa MAPENZI yao YAMEKWISHA na jamaa anadai alikubali kuwa naye ili AMFAIDI tu kwani alijirahisisha mno mbele yake..mwezi ujao jamaa ANAOA mpenzi wake wa mwanzo..mara 2 zote dada kakamatwa KITUO cha basi na kurudishwa home akitaka kukimbia mji..ushauri wako tafadhari sasa huyu dada hajipati hata kidogo na haamini tena kama atakuja kupendwa..

(Nawasilisha)
 
ushauri wa nini na hao wanaomrudisha wanamrudisha wa nini
 
Atajiju Babu eeh, yeye alikuwa anafurahi kumuumiza mwenzie moyo, kama hupendwi hupendwi tu, akatafute wa kumpenda, wajigandiiisha na si ajabu kwa waganga waenda, asishindane na Mungu, yeye ni Mwanadamu tu!
Kweli dunia ya leo MALIPO ka Internet ya AIRTEL yani very faster, kuna huyu dadangu wa kusoma pamoja ALIPORA/NYANGANYA mpenzi wa mtu, mapenzi haya mapya yakasogea siku kadha wa kadha huku huyu dada akionesha kiburi cha elimu na majivuno mengi kuwa yuko kwenye uhusiano KAMILIFU/IMARA..mara ghafla bin vuu jamaa yake kampa report kuwa MAPENZI yao YAMEKWISHA na jamaa anadai alikubali kuwa naye ili AMFAIDI tu kwani alijirahisisha mno mbele yake..mwezi ujao jamaa ANAOA mpenzi wake wa mwanzo..mara 2 zote dada kakamatwa KITUO cha basi na kurudishwa home akitaka kukimbia mji..ushauri wako tafadhari sasa huyu dada hajipati hata kidogo na haamini tena kama atakuja kupendwa..

(Nawasilisha)
 
What goes around, comes around.

Ndimi, Bazazi!
 
Hivi kituo cha basi unaweza kukamatwa na kurudishwa ilhali umejilipia nauli?
Na huyo anayeolewa anaona sifa kuwa aliacha, akafaidiwa mwingine weeeh afu akarudiwa yeye kuolewa? Mjini kugumu sana!
 
Inakuwaje mtu mzima akamatwe yanini kumzuia safari zake? au ni beki 3? sijaelewa
 
Hivi kituo cha basi unaweza kukamatwa na kurudishwa ilhali umejilipia nauli?
Na huyo anayeolewa anaona sifa kuwa aliacha, akafaidiwa mwingine weeeh afu akarudiwa yeye kuolewa? Mjini kugumu sana!
wajinga ndio waliwao,usiache mbachao kwa msala upitao
 
Hivi kituo cha basi unaweza kukamatwa na kurudishwa ilhali umejilipia nauli?
Na huyo anayeolewa anaona sifa kuwa aliacha, akafaidiwa mwingine weeeh afu akarudiwa yeye kuolewa? Mjini kugumu sana!
umeona eeh mapenzi ya kimjini mjini magumu sana
 
nasubiria na wewe ulipiziwe kwa kuleta habari za umbea humu..
 
Back
Top Bottom