Malipo wanayolipwa wasanii wa marekan kwa show moja haya hapa

Malipo wanayolipwa wasanii wa marekan kwa show moja haya hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
RICK ROSE HULIPWA KIASI CHA DOLA $100,000 KWA SHOW MOJA lakini AKIWA NA Mac Miller HULIPWA HADI DOLA $155,000 KWA SHOW AMBAZO
NI SAWA NA TSH.250,000 (MILIONI MIA MBILI HAMSINI ZA KITANZANIA)

ORODHA YA KIASI WALIPWACHO WASANII WAKUBWA KWA SHOW MOJA.

  1. #1 Kanye West – $3 million sweet 16
  2. #1 Jay-Z – $3 million sweet 16
  3. #2 Eminem – $3.3 million for two nights at UK festival ($66k per song)
  4. #3 50 Cent – $2 million for Gadafi’s son (later donated to charity)
  5. #4 Rihanna – $800,000
  6. #5 Lil Wayne – $500,000
  7. #6 Drake – $155,000
  8. #7 Nicki Minaj – $150,000
  9. #8 Akon – $120,000
  10. #9 T.I. – $110,000
  11. #10 Snoop Dogg – $105,000
  12. #11 Rick Ross – $100,000
  13. #12 Ludacris -$90,000
  14. #13 Pitbull – $85,000
  15. #14 B.o.B – $80,000
  16. #15 Wiz Khalifa – $75,000
 
Sijakuelewa na wala hueleweki, hizo ni ambazo wameshawahi kulipwa na sio ndo huwa wanalipwa.
 
Tanzania diamond million 1. Ahahahahah... pesa ya vocha ya weezy khalifa
 
Kaka hizo ni ambazo wameshawai kulipwa, kila msanii ana rate yake ya kawaida ambayo wengi ina range dola lak 1 hadi lak 5 ina depend na season anavyohit... So hizo bei ni batili
 
Kaka hizo ni ambazo wameshawai kulipwa, kila msanii ana rate yake ya kawaida ambayo wengi ina range dola lak 1 hadi lak 5 ina depend na season anavyohit... So hizo bei ni batili

nakumbuka kuna show moja alipiga drake niliuzuria alilipwa $ 250,000 na aliimba kidogo tu,pia bei yao kama unavyosema inaanzia dola lak 1,ila kuna show nyingine binafsi wanapata wanalipwa ata dola million 2 inategemea na mtu aliyewaita kupiga show,ukweli ni kwamba wasanii wa marekan wanalipwa pesa ndefu na serikali inawakata kodi,wote wananufaika serikali na wasanii kupitia hii industry ya burudani
 
Tanzania diamond million 1. Ahahahahah... pesa ya vocha ya weezy khalifa

dimondi anachukua mil8 kwa show kwa bei ya kwenye matangazo,ila ukimvutia waya mkiongea hadi mil2 anachukua inategemea.
 
Mbona mmewasahau watu wa Rock nahisi ndio wanaongoza kulipwa
Shinedown
Black Keys
Foo fighters
Creed
Alter Bridge
Kings of Leon
ColdPlay
Linkin Park

Kafanye homework yako vizuri
 
dimondi anachukua mil8 kwa show kwa bei ya kwenye matangazo,ila ukimvutia waya mkiongea hadi mil2 anachukua inategemea.

khaa,kumbe?!Me nilidhan ni m8 kweli kumbe anakuwa yupo kwenye kujimarket,ila nivizuri kujithaminisha hvo inasaidia hata mapromota kujipanga na kukuandalia dau zuri pindi wanapokuhitaji so bigup kwake Diamond kwa hilo.Daah nilikuwa nashangaa alivyokuwa anasema show anapiga kwa m8 halafu anapata show zaid ya 3 kwa wiki,nikajua kafikia levo za juu sana kumbe anatuchora(halipwi hvo)?!
 
Hiyo list sikubaliani nayo.
U2 wasanii wa Rock ndio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi kwa show.
Lady Gaga yupo tatu bora.
 
ORODHA YA KIASI WALIPWACHO WASANII WAKUBWA KWA SHOW MOJA.

  1. #1 Kanye West – $3 million sweet 16
  2. #1 Jay-Z – $3 million sweet 16

Sasa kwenye tour ya 'The Throne' wako pamoja, wanalipwa sh ngapi....$6 million?!
 
Je na hawa bongo flavor wetu wakiendaga majuu wakitoa shoo moja huwa wanalipwa kiasi gani?
 
Mbona mmewasahau watu wa Rock nahisi ndio wanaongoza kulipwa
Shinedown
Black Keys
Foo fighters
Creed
Alter Bridge
Kings of Leon
ColdPlay
Linkin Park

Kafanye homework yako vizuri

sijashindanisha wasanii wanaoongoza kwa kulipwa bali nimetaja malipo ya baaz tu,soma kichwa cha habari usikulupuke kama uamsho
 
Back
Top Bottom