MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Je na hawa bongo flavor wetu wakiendaga majuu wakitoa shoo moja huwa wanalipwa kiasi gani?
Huo sasa uchokozi? Wakikusikia wenyewe mi simo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je na hawa bongo flavor wetu wakiendaga majuu wakitoa shoo moja huwa wanalipwa kiasi gani?
hizo za madorali ya mamilioni ni kwa special occasion, yaani kwa mfani msanii hana ratiba ya show halafu unamwita kwako au kwdnye very limited arena for exclusive people not like uuuuu...
hahahahaha?Tanzania diamond million 1. Ahahahahah... pesa ya vocha ya weezy khalifa
sijashindanisha wasanii wanaoongoza kwa kulipwa bali nimetaja malipo ya baaz tu,soma kichwa cha habari usikulupuke kama uamsho
RICK ROSE HULIPWA KIASI CHA DOLA $100,000 KWA SHOW MOJA lakini AKIWA NA Mac Miller HULIPWA HADI DOLA $155,000 KWA SHOW AMBAZO
NI SAWA NA TSH.250,000 (MILIONI MIA MBILI HAMSINI ZA KITANZANIA)
ORODHA YA KIASI WALIPWACHO WASANII WAKUBWA KWA SHOW MOJA.
- #1 Kanye West $3 million sweet 16
- #1 Jay-Z $3 million sweet 16
- #2 Eminem $3.3 million for two nights at UK festival ($66k per song)
- #3 50 Cent $2 million for Gadafis son (later donated to charity)
- #4 Rihanna $800,000
- #5 Lil Wayne $500,000
- #6 Drake $155,000
- #7 Nicki Minaj $150,000
- #8 Akon $120,000
- #9 T.I. $110,000
- #10 Snoop Dogg $105,000
- #11 Rick Ross $100,000
- #12 Ludacris -$90,000
- #13 Pitbull $85,000
- #14 B.o.B $80,000
- #15 Wiz Khalifa $75,000
Vip wakija Bongo huwa wanamvuna sh ngap RUGE!