Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

mkaa mweusi

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
69
Reaction score
26
Ndugu wana JF,
Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi.

Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu mwezi wa 11. Kwa yoyote aliyewahi kulipwa kwa hii scheme anisaidie mwongozo.
 
Kwanza uliacha au kuachishwa na kazi yako uliajiliwa Kama nani
 
Back
Top Bottom