Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. Je, mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha, Uchukuzi, TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM, tuambiwe.
Waziri Mkuu ingilia kati kuna mchezo mchafu. Mbunge Kamoli amelisemea sana sasa joma na iwe noma.Watu wamebomoa nyumba zao na wwengine kuhamisha wapangaji je wataishije? Huu ni unyanyasaji haiwezekani, tunataka malipo yetu vinginevyo eneo hili mmepoteza kura.