M Mpap Ndabhit JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 331 Reaction score 416 Jan 17, 2014 #1 Mimi ni mwajiriwa wa idara fulani ya serikali. HOME OF DOMICILE ni kusini kituo cha kuripoti kazi kaskazini magharibi
Mimi ni mwajiriwa wa idara fulani ya serikali. HOME OF DOMICILE ni kusini kituo cha kuripoti kazi kaskazini magharibi
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 Jan 17, 2014 #2 Kuna kima cha chini cha mshahara ambao kwa namna yoyote mwajiri huwezi kushuka chini ya hapo. Lakini sekta zinatofautiana na hicho kiwango. Kwani uko sekta gani?
Kuna kima cha chini cha mshahara ambao kwa namna yoyote mwajiri huwezi kushuka chini ya hapo. Lakini sekta zinatofautiana na hicho kiwango. Kwani uko sekta gani?
M Mpap Ndabhit JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 331 Reaction score 416 Jan 18, 2014 Thread starter #3 Nipo idara ya mahakama mkuu, tumeombwa tulipwe pesa za kupelekwa kituo cha kazi kusafirisha familia na mizigo, hawataki!
Nipo idara ya mahakama mkuu, tumeombwa tulipwe pesa za kupelekwa kituo cha kazi kusafirisha familia na mizigo, hawataki!