Malipo ya kuajiriwa ni kisheria au huruma ya mwajiri?

Malipo ya kuajiriwa ni kisheria au huruma ya mwajiri?

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
Mimi ni mwajiriwa wa idara fulani ya serikali. HOME OF DOMICILE ni kusini kituo cha kuripoti kazi kaskazini magharibi
 
Kuna kima cha chini cha mshahara ambao kwa namna yoyote mwajiri huwezi kushuka chini ya hapo. Lakini sekta zinatofautiana na hicho kiwango. Kwani uko sekta gani?
 
Nipo idara ya mahakama mkuu, tumeombwa tulipwe pesa za kupelekwa kituo cha kazi kusafirisha familia na mizigo, hawataki!
 
Back
Top Bottom