Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Ili ikulipe unatakiwa kuwa na harrow ikiwezekana, jembe la mfumo huu huchukia eneo kubwa hivyo huokoa muda na mafuta na kwa siku inaweza kupiga heka 10-20 kama zipo eneo moja. Jembe LA disc huchukua eneo dogo na mizunguko inakuwa mingi shambani na kupelekea matumozi ya mafuta mengi na wakati bei hupishana kwa kiwango kidogo tu.
Ok nashukuru sana kwa somo