Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Ok nashukuru sana kwa somo
Aisee kama eneo ni jipya bei huongezwa kidogoNa ayo malipo ayaangalii ka shamba halijatumika mda kuzid mwaka au upya wa eneo au?
Huwa inaenda mpaka laki, hii hutegemeana na ugumu wa shamba ila Mara nyingi huongezeka 10,000 kutoka kwenye bei ya kawaidaKiasi gani?
Kwa Moro ni asawa lakini Dodoma sijui uko sehemu gani ila maeneo mengi ni 25,000 mpaka 30,000Yaah, kama Moro kuanzia 50 mpaka 60, Dodoma pia 50/60
Hilo zoezi hufanyika kwa mashamba mapya, ila kwa mtu anaepiga zote kila bei inabaki pale pale kwasababu mizunguko no ileile tu bila kujali unakatua au unarudishiaJe kufanya harrow na disc zote kwa pamoja?