Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, 2004, haisemi lolote kuhusu leave allowance, ila huwa baadhi ya waajiri wanakua na kipengele cha "Faida Nyinezo/Other Benefits" katika mkataba wa ajira, ambako unakuta vitu kama Bima ya Afya, Leave Allowance, n.k. Ni wewe kurejelea mkataba wako wa ajira, hicho kipengele cha leave allowance kimechambuliwa vipi.Kwa mnyenyeku mkubwa naomba kuliiza hili swali.
Ninafanya kazi kwa mwajiri binafsi, huwa anatoa leave allowance kwa kila baada ya
mwaka mmoja wa likizo..
je kwenye hii leave allowance ni kwa mwajiriwa tu au ni pamoja na wategemezi wake?
yaani kama nina familia nastahili kupewa nauli peke yangu au ya wanafamilia wote??
nawasilisha
soskeneth
Nashukuru kwa majibu,Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, 2004, haisemi lolote kuhusu leave allowance, ila huwa baadhi ya waajiri wanakua na kipengele cha "Faida Nyinezo/Other Benefits" katika mkataba wa ajira, ambako unakuta vitu kama Bima ya Afya, Leave Allowance, n.k. Ni wewe kurejelea mkataba wako wa ajira, hicho kipengele cha leave allowance kimechambuliwa vipi.
Swali ambalo unaweza ukajiuliza, ulipoanza hiyo ajira, marital status yako ilikuaje? Single au Married? Kama ulikua Single, ulipooa ulimfahamishwa mwajiri hiyo change of status?
Sheria inapozungumzia swala la leave, inazungumzia siku 28 za mapumziko zenye malipo kwa mwaka, sick leave, maternity leave, partenity leave na compasionate leave (mwajiri amefiwa na mwenza wake, mtoto, mzazi wake, n.k). Haisemi chochote kabisa kuhusiana na "leave allowance". Lakini waajiri katika kujenga uhusiano mzuri na waajiriwa na kuwapo motisha ndio wanakua na "Other Benefits" katika mikataba ya ajira.Nashukuru kwa majibu,
mkataba wangu pia hausemi chochote, na hii kwa wafanyakazi wote, sasa
tunashangaa kwenye taasisi (hasa za kiserikali hupewa na wategemezi pia)
nilitaka kujua imekaaje kisheria, nisije nikalianzisha nikaonekana nina matatizo
kwa hiyo kwa maelezo yako ni kuwa hapo si lazima mwajiri atoe wa wategemezi,
na sheria haimbani?
Dah.. Nashukuru mkuu ngoja nifunge mdomo wangu wasije wakatoa hata na hiki kidogo.Sheria inapozungumzia swala la leave, inazungumzia siku 28 za mapumziko zenye malipo kwa mwaka, sick leave, maternity leave, partenity leave na compasionate leave (mwajiri amefiwa na mwenza wake, mtoto, mzazi wake, n.k). Haisemi chochote kabisa kuhusiana na "leave allowance". Lakini waajiri katika kujenga uhusiano mzuri na waajiriwa na kuwapo motisha ndio wanakua na "Other Benefits" katika mikataba ya ajira.
Hapo ni kukaa na HR/Mwajiri na kuweka hicho kipengele sawa, ili allowance leave ijumuishe wategemezi (mke, watoto), na iseme ni wategemezi wangapi. Kipengele kichambuliwe vizuri na kuonyesha watu wapi wana haki ya kufaidika na leave allowance.
Dah.. Nashukuru mkuu ngoja nifunge mdomo wangu wasije wakatoa hata na hiki kidogo.
swali la mwisho.
umetaja likizo kuwa ni siku 28. je ni siku za kazi au,
maana tunapata likizo ya siku 24 za kazi.
asante tena